Kilugbara

Kilugbara ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Walugbara. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kilugbara nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 840,000, na mwaka wa 2004, idadi ya wasemaji nchini Uganda ilihesabiwa kuwa 797,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilugbara iko katika kundi la Kimoru-Madi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search